2 Kings 23:21

Yosia Aadhimisha Pasaka

21 aMfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa Bwana Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Copyright information for SwhNEN